Osca Pistorius jela miaka 6 kwa mauaji


Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, leo amehukumiwa kifungo cha miaka 6 gerezani kwa kosa la kumuua mpenzi wake.

Alimuua kwa kumpiga risasi mchumba wake, Reeva Steenkamp miaka mitatu iliyopita

EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng