Mshindi mara mbili wa mashindano ya Australian Open Victoria Azarenka has amefichua kwamba ana mimba.
Rais huyo wa Belarus mwenye umri wa miaka 26 amesema anapanga kurejea katika uchezaji baada ya kujifungua mwishoni mwa mwaka huu.
Azarenka na mpenzi wake waligundua kwamba alikuwa mjamzito alipokuwa anauguza jeraha lla goti.
"Tuna furaha sana na najihisi kubarikiwa kwamba nitaanza safari hii ya kusisimua,” amesema Azarenka, ambaye ameorodheshwa nambari sita kwa ubora duniani.
"Nimetiwa moyo sana na wanamichezo wengine wa kike ambao huweza kurejea kushindana baada ya kujifungua na ninapanga kufanya vivyo hivyo.”
Azarenka alishinda Australian Open mwaka 2012 na 2013, miaka ambayo pia alifika fainali US Open lakini akashindwa.
Hajacheza tangu aondoke uwanjani raundi ya kwanza mechi ya French Open dhidi ya Mwitaliano Karin Knapp mwezi Mei.
Artikel Menarik Lainnya
Klabu ya Chelsea ya Uingereza imemsajili mshambuliaji wa Ubelgiji mwenye asili ya Jamhuri y
Messi jela miezi 21
Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada
Leicester city yachukua msumari mpya
Katika jitihada za kukihami kikosi chao kabla ya kutetea taji lao, Mabingwa wa ligi kuu ya Uinge
Tetesza usajili barani ulaya
Manchester United wamewaambia Juventus kuwa wako tayari kulipa pauni milioni 100 kumsajili kiung
Mbanas Samata Aipaisha Genk
Jana usiku Juni 14, nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally Samatta alifun
Yanga VS Medeama Wamukia
Wapinzani wa klabu ya Young Africans, katika michuano ya kuwania Kombe la Shirikisho Barani A
EmoticonEmoticon